Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza microsoft lumia 640 dual ni windows 10 napatikana arusha ila mikoani pia natuma
Piga 0628391356
 
Nina Huawei y 550 imetumika miezi 6, inataka 220k mwenye uhitaji aje pm wakuu
 
Anayetaka iphone 4 ninayo mbili white and black kila moja ni 200,000. Tu namba ya simu 0682872166
 
Nauza samsung galaxy tab 4 haina tatizo lolote bei sh 220000 kwa atakaye hitaji nichek whatsp kwa no 0753606603
 
Nauza Nokia Lumia 620, bei laki moja ina mpasuko kwenye tachi lakini inapiga kazi kama kawaida. 0714884422
 
Samsung galaxy s5. Marshmallow android version, 2gb ram, 16gb rom, 4G network. Inauzwa sh 270,000 za kitanzania
 
Samsung galaxy s6 edge, marshmallow android version, 3gb ram, 32gb rom and 4G network. Inauzwa kwa sh 530,000. Tatizo lake ni crack kwenye kioo cha juu
 

Attachments

  • 1473615942512.jpg
    61 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…