Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sonny experia z1 imepasuka kioo cha mbele na mfuniko wa nyuma na camera yake imeharibika matengenezo yatakuwa bei gani???Smart world,tuna deal na matenegenezo bora ya smartphone kama kuflash simu aina zote, ku unlock simcard kwa simu za nje ya nchi, kubadili damaged dispaly,kuondoa virus,kufix bugs zisizo za lazima katika smart phone na matengenezo mbalimbali ya simu,kwa ubora na uhakika wa smartphone yako wasiliana nasi:-0714648822 na 0768393948.
Mkuu vipi umepata?Nahitaji kununua tablet yenye sifa hizi nicheck kama unayo
Brands ni Samsung/LG/Lenovo/HTC
Android version ni kuanzia 4.4.4
(Kitkat)
RAM at least 1. 5GB
Internal at least 16 GB
Size at least 8inches but 10 inches is the target.
Battery life at least 8hrs(Muhimu sana)
Offer yangu maximum ni 400k
Tuchekiane pm.
S4 original model hiyo ninayo kioo cha juu kimecleck,ila inapiga mzigo kama kawa, kinapatkana kariakoo kwa 25ooo tu nicheck whatsapp 0765325644Ipo s4 original...SM 19505 hii model inasupport 4G, ni Lte ....nichek Vunja bei: 0654776976
Dah!! Lumia 650 Dual SIM inch 5 hutaki?Natafuta simu yenye nchi 4 iwe laini 1 isiwe na shida hata moja
Bajeti inabanaDah!! Lumia 650 Dual SIM inch 5 hutaki?
Bajeti yango ngapi nikusaidie kutafuta?Bajeti inabana
80kBajeti yango ngapi nikusaidie kutafuta?
Unapatkana wapi mkuuKuna tecno W3 Mpya..
Inataka 150,000
Seriously buyers 0625690081![]()
![]()
![]()