Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza iPhone 4S kwa Tshs
87424245ad5afd64ca11d33d51503504.jpg
05ca23c082403e7bcf2f2ebcd949800d.jpg
450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234

Bei ya iphone 4s ni 250k. Kwa ushauri punguza hiyo bei ndio utapata wateja.
 
Nauza iPhone 4S kwa Tshs
87424245ad5afd64ca11d33d51503504.jpg
05ca23c082403e7bcf2f2ebcd949800d.jpg
450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/87d479756625eeb67c23a
Ntafutie laki 6 nikupe six
 
N
ICloud ni security ya simu kama unavyoweka password kwenye simu yako sema yenyewe inakuwa accessed na server za Apple(kampuni ya iphone), hivyo mteja anaejali ulinzi wa simu yake pindi anaponunua atajiregister na icloud account, pindi simu yake inapoibiwa anaingia website ya apple kisha anaenda find my phone na anaamua kuilock mazima hivyo mara nyingi simu zinazouzwa zikiwa na icloud lock waweza nunua kama toy la kuchezea watoto au unahitaji spear
Nafikiri ili neno icloud lilikua Giza kwangu asante kwa ufafanuzi yani ckua naelewa chochote apo
 
Lenovo k5 plus 3gb ram for sale,

CONDITION - NEW
PRICE 400000/TSH

Amazon product ASIN B01DGVXIMG
  • Dual Sim, 4G, 3G, Wi-Fi
  • Octa Core, 1.5 GHz Processor
  • 3 GB RAM, 16 GB inbuilt
  • 2750 mAH Battery
  • 5 inches, 1080 x 1920 px display
  • 13 MP Camera with flash
  • Memory Card Supported, upto 128 GB
 
big gift said:
Sasa huoni nakua katika hatari ya kukosa mwenzangu akiniwahi

Hahaha sasa huo uchoyo mkuu, huwezi jua waweza shindwana nae bei alafu ikiwekwa hapa pia unaweza faidika hadi wewe kama kitu si kizuri watu watakupa ushauri pia.
 
ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP ni sabuni kutoka kampun kabambe iliyothibitishwa kimataifa je una matatizo ya ngozi,mba kwenye nywele,fangasi,ukinyoa unatoka vipele sabuni hii ni kiboko kabisa.
Imetengenezwa kwa kutumia Honey, green tea, Grapefrute, olive oil na palm oil ni nzuri kwa watoto wadogo pia
Kama unaijali na kuipenda ngozi yako tumia anatic soap ni shilingi 10,000 tu.
Text/piga 0715 476787
 
Back
Top Bottom