Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Nauza iPhone 4S kwa Tshs 450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234
Mkuuu embu nitumie picha zake pm tufanye mamboLete 250,000 nikupe sony zperia z3
Mkuuu embu nitumie picha zake pm tufanye mambo
PoaNi bora akatuma hapa tufaidike sote atakayeipenda atamchek maana bei kashaweka! PM si kuzuri sana hasa linapikuja suala la pesa wakuu.
Samsung S4 ipo sokonii wadau 250k
Nauza barabara tuwasiliane
Samsung S4 ipo sokonii wadau 250k
1 year Charger inayoUmetumia kwa muda gani? Na ina components zipi za ziada? Charger + earphones!??
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/87d479756625eeb67c23aNauza iPhone 4S kwa Tshs 450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234
Nafikiri ili neno icloud lilikua Giza kwangu asante kwa ufafanuzi yani ckua naelewa chochote apoICloud ni security ya simu kama unavyoweka password kwenye simu yako sema yenyewe inakuwa accessed na server za Apple(kampuni ya iphone), hivyo mteja anaejali ulinzi wa simu yake pindi anaponunua atajiregister na icloud account, pindi simu yake inapoibiwa anaingia website ya apple kisha anaenda find my phone na anaamua kuilock mazima hivyo mara nyingi simu zinazouzwa zikiwa na icloud lock waweza nunua kama toy la kuchezea watoto au unahitaji spear
Sasa huoni nakua katika hatari ya kukosa mwenzangu akiniwahiNi bora akatuma hapa tufaidike sote atakayeipenda atamchek maana bei kashaweka! PM si kuzuri sana hasa linapikuja suala la pesa wakuu.
big gift said:Sasa huoni nakua katika hatari ya kukosa mwenzangu akiniwahi
IPHONE 5seI phone 6 Bei Tanzania Shillingi 950,000/=
Piga simu 0717956685
Au 0717048707•