Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

MJ MOBILE REPAIR,ni mafundi simu kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa.tunabadilisha touch screen pamoja na display,simu inayowaka na kujizima,simu inayopata moto pindi unapoiwasha,ukiiweka chaji au unapoitumia, simu iliyozima,simu isiyojaa chaji,simu inayonyonya battery,simu iliyoingia kwenye maji,simu inayozima ikiwa mfukoni,simu iliyozimika yenyewe,simu ambayo touch screen inashindwa kufanya kazi vizuri,pamoja na matatizo mengi ya smart phone yako wasiliana nasi kwa 0714648822 & 0754549922 KARIBUNI.
Nna huawei y300 nataka ku unlock bootloader mnaweza?
Blackberry tab
1gb ram
64gb
Wifi
25ok price
Location dar
Contact 0719094595
be513556d4619fd9c37b6ba4f3404e46.jpg
9e27dc9156e630d4880e731f95860597.jpg
c2d5c327045ca26759492c856a377741.jpg
0dd5639e3bda79422543667318c90b81.jpg

Microsoft lumia 535 dual SiM
bei laki na hamsini 150000/=
0714043129
Dar es salaam
e1aa1c2f2e4b1679c66fea5043833a73.jpg
7414f9bce0fe3bf8cb869d73f31406d2.jpg
83ca4a3620f208ad146790b27385bd3e.jpg
444340962f55db21dc7164d10b82bece.jpg
367d20a15de5a00929c9bcb69b541208.jpg
Moja wapo ya simu nazozipa heshima ya pekee sana kwa uimara na outstanding performance. Udhaifu wake mmoja mkubwa upo kwenye Camera tu hasa baada ya ku-upgrade kwenda W10.
But all in all I loved my Lumia. No heating, smart battery, productive, network hata ikiwa E still you can do something.... wooooow and that Edge Explorer. Lovely Browser.
all the best kwa atakaenunua huo mtambo [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Mimi nina Microsoft Lumia 650 Dual Sim LTE, Nauza 450k. 0714884422
 
Samsung galaxy note 4
32gb
450k
Contact 0719094595
Location dar
4672360aa08178888867a907c9837d5a.jpg
b4412993624e30f0ce7f675862f3d235.jpg
 
Samsung galaxy note 4
32gb
450k
Contact 0719094595
Location dar
4672360aa08178888867a907c9837d5a.jpg
b4412993624e30f0ce7f675862f3d235.jpg
Ni nzuriiiiii ila mimi napenda simu nyeupe sana.
Na malengo yangu ni kuwa na Samsung ya note nyeupe.
Biashara njema mkuu.
 
Back
Top Bottom