James Ciroc
Member
- Oct 13, 2016
- 34
- 8
Mkuu mm nahitaji
Nna huawei y300 nataka ku unlock bootloader mnaweza?MJ MOBILE REPAIR,ni mafundi simu kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa.tunabadilisha touch screen pamoja na display,simu inayowaka na kujizima,simu inayopata moto pindi unapoiwasha,ukiiweka chaji au unapoitumia, simu iliyozima,simu isiyojaa chaji,simu inayonyonya battery,simu iliyoingia kwenye maji,simu inayozima ikiwa mfukoni,simu iliyozimika yenyewe,simu ambayo touch screen inashindwa kufanya kazi vizuri,pamoja na matatizo mengi ya smart phone yako wasiliana nasi kwa 0714648822 & 0754549922 KARIBUNI.
Blackberry tab
1gb ram
64gb
Wifi
25ok price
Location dar
Contact 0719094595
View attachment 429622View attachment 429623View attachment 429625 Mate 7 hyo mpyaa inataka 500,000 tu na ni line moja
Is still water proof?Nauza Xperia z black 200kukiitaka tuwasiliane 0625667727
O715270707 nko zenj
YeahIs still water proof?
Moja wapo ya simu nazozipa heshima ya pekee sana kwa uimara na outstanding performance. Udhaifu wake mmoja mkubwa upo kwenye Camera tu hasa baada ya ku-upgrade kwenda W10.Microsoft lumia 535 dual SiM
bei laki na hamsini 150000/=
0714043129
Dar es salaam
Mimi nina Microsoft Lumia 650 Dual Sim LTE, Nauza 450k. 0714884422Moja wapo ya simu nazozipa heshima ya pekee sana kwa uimara na outstanding performance. Udhaifu wake mmoja mkubwa upo kwenye Camera tu hasa baada ya ku-upgrade kwenda W10.
But all in all I loved my Lumia. No heating, smart battery, productive, network hata ikiwa E still you can do something.... wooooow and that Edge Explorer. Lovely Browser.
all the best kwa atakaenunua huo mtambo [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Ni nzuriiiiii ila mimi napenda simu nyeupe sana.Samsung galaxy note 4
32gb
450k
Contact 0719094595
Location dar
Sio kutamanishana huko kwakweliNi nzuriiiiii ila mimi napenda simu nyeupe sana.
Na malengo yangu ni kuwa na Samsung ya note nyeupe.
Biashara njema mkuu.
Kivipi mkuu?Sio kutamanishana huko kwakweli
Umenitamanisha. Ingekua nyeupe ningefanya biasharaKivipi mkuu?
Hiyo simu imesimama na bei yako ni nzuri, utaiuza tu mkuu.Umenitamanisha. Ingekua nyeupe ningefanya biashara
Wakuu kwa mwenye Sony Xperia z2
Wakuu kwa mwenye Sony Xperia z2
Ninayi z3 iko vizuri sana,,kama ni mtu unaependa kubrowse ina ram 4gb so iko na speed