Wauza smartphone tukutane hapa

tecno c5 kwa laki na nusu tu haina tatizo lolote nipo dar kijichi nicheki 0718939972
 
Habari
Niko Iringa Natafuta Smartphone
Bajeti yangu Laki 1 kamili
Napata simu gani hapo...??
Ntafte hapa kama unayo
0652769635
 
Wakuu za majukumu,,?
Kuna hii simu hapa bado mpya nilinunua mama ameikataa ...anataka kdg
Ni tecno Phantonm 6
Internal storage in 32Gb inataka 250k...
 
IPhone 5s
Clean Condition
GB 32 ________Bei 520,000

GB 64________Bei 570,000

Phone Comes With Cable
0654766056 [emoji338]
No Exchange Deals

 
Hiyo ni s3 ina 1.4 quad core cortex A9,8MP camera ya nyuma,1GB ram ,2100mah battery hizo ndo basi kumbuka ni international versio na iko rooted kabisa
specifications zake?
 
kuna iphone 6 mpyaa yn haija ata chembe la mchbuko...imetumika wiki na cku 1....internal 64 gb.....bei 750k
 
Nauza Samsung galaxys4,tecno phantom 6,Samsung galaxy s3,kwa maelezo njoo pm au 0717 55 0291
 

Samsung grand prime
For sale
Price 230000
Contact 0652482782
 


IPhone 5 black-16Gb
For sale
Price:450000
Brand new
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…