Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji tecno H7... Nakupa tecno H6 na pesa kdg
Njoo kwenye whatsapp715378899nahitaji sony xperia v nipo dsm bei iwe nzuri
Hizi simu zingine ni nzuri sana tatizo zikiharibika kutengeneza ishu. Niliagiza lenovo p 780 nimetumia mwezi mmoja tu ikaanza kusumbua mtandao kila fundi naempa anaongea la kwake mwishowe ikabidi nikampa mtu alikuwa anakwenda China ndio akaenda kunibadilishia sababu ilikuwa ina warranty ya China tu, ukitaka simu inayokaa na chaji bora ununue Tecno L6 betri lake Lina ukubwa wa 4500mAh na inajitahidi kwa kweli kukaa na chaji na INA customer care
sipo watsapp kwa sasa kama unayo niambie na bei yake pia wekaNjoo kwenye whatsapp715378899
Habari wakuu!
Ninauza hiyo hapo sony experia tshs 120000/= iko katika hali nzuri.
Fanya hima mteja nina shida na hela now.
HTC incredible s 710e..
Katika hali nzuri.
Bei ni 130,000/=.
Plus 8 GB memory card
Ukiwa interested nifuate huku..0716 403 314.
nauza huawei y-300 120,000/= iko katika hali nzuri sana
kwenye housing juu imefanyaje! inapatikana wapi!
kwenye housing juu imefanyaje! inapatikana wapi!
Inapatikana Mwanza ila naeza ituma via flight ulipo!? Kwani hupo mkoa gani mkuu!?
gharama hizo anawajibika nazo nani! maana kutoka huko to dar na huku mtu ajaishika mkononi na kujiridhisha kwa kuikaguan either akakubali or kughari kuichukua' ipoje hapo
sio mbaya maadam umejieleza ulipo naamini waliopo mwanza watafanikisha! othertym unaeleza ulipo' unatoa contact' uzuri bei ulikua hujasahau kuweka! weka tangazo vzr kuepuka usumbufu wa kuchat sanaAnyways nlidhani una mtu hapa Mwanza mtaalamu wa kukagua simu aifanye hiyo kazi maana nahisi itakuwa process ndefu simu ije Dar ndo ikaguliwe!
Expenses za ndege ningecover maana nina brother angu hapa anapush Pipa la kuja Dar so ningempa akuletee.
Karibu!!
Tecno phamtom min Z ipo mpya kabisa 350,000
0715378899