Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Ninayo cm ya laki,lakin touch imepasuka na inapiga mzigo km kawa,y 300 Huawei tuonane 0715378899
 
Hizi simu zingine ni nzuri sana tatizo zikiharibika kutengeneza ishu. Niliagiza lenovo p 780 nimetumia mwezi mmoja tu ikaanza kusumbua mtandao kila fundi naempa anaongea la kwake mwishowe ikabidi nikampa mtu alikuwa anakwenda China ndio akaenda kunibadilishia sababu ilikuwa ina warranty ya China tu, ukitaka simu inayokaa na chaji bora ununue Tecno L6 betri lake Lina ukubwa wa 4500mAh na inajitahidi kwa kweli kukaa na chaji na INA customer care

Swala chaji kwenye smartphone tecno wame advance
 
Habari wakuu!

Ninauza hiyo hapo sony experia tshs 120000/= iko katika hali nzuri.

Fanya hima mteja nina shida na hela now.
1436219095879.jpg
1436219125609.jpg
 
Inapatikana Mwanza ila naeza ituma via flight ulipo!? Kwani hupo mkoa gani mkuu!?

gharama hizo anawajibika nazo nani! maana kutoka huko to dar na huku mtu ajaishika mkononi na kujiridhisha kwa kuikaguan either akakubali or kughari kuichukua' ipoje hapo
 
gharama hizo anawajibika nazo nani! maana kutoka huko to dar na huku mtu ajaishika mkononi na kujiridhisha kwa kuikaguan either akakubali or kughari kuichukua' ipoje hapo

Anyways nlidhani una mtu hapa Mwanza mtaalamu wa kukagua simu aifanye hiyo kazi maana nahisi itakuwa process ndefu simu ije Dar ndo ikaguliwe!

Expenses za ndege ningecover maana nina brother angu hapa anapush Pipa la kuja Dar so ningempa akuletee.

Karibu!!
 
sio mbaya maadam umejieleza ulipo naamini waliopo mwanza watafanikisha! othertym unaeleza ulipo' unatoa contact' uzuri bei ulikua hujasahau kuweka! weka tangazo vzr kuepuka usumbufu wa kuchat sana
 
Just curios...hivi samsung wana version gani ambayo ni latest? Huwa zanimix sana mara galaxy, s6, edge aaaghhrr!! Hawako straught km iPhone
 
Back
Top Bottom