Wauza smartphone tukutane hapa

Nina Samsung Galaxy S7
GB 32
Ina kila kitu chake
Mpya nimetumia mwezi
No Strach
USB connector
Nahitaji 800,000
Nipo dsm Mbezi beach ukihitaji nicheki kwa 0622 027490
Picha hapo chini
 
Samsung SGH TABLET ipo katika hali nzuri sana inasoma 4g ni american tablet ukubwa wake ni nusu kioo cha laptop kwa urefu na upana, Inaingiza laini, Ina firewall, Ina 16gb internal, Ina uwezo wa kukaa masaa 6 ikiwa on 4g na masaa 12 ikiwa inafanya kazi kwa airplane mode, Bei ni laki 3 na 50. Mawasiliano ni 0783835253.
Picha nitakutumia whatsapp kwa unaye hitaji.
 


Samsung Galaxy S6
32Gb
Clean Condition
500k
Pm me kama unaihitaji .
 
Nina phantom6 Mpya fuulbox haijatumika Bei saw na bure sh 370000 tu niko dar call me 0625489948
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…