Wauza smartphone tukutane hapa

Iphone 5s inauzwa, imetumika 1 week haina mkwaruzo wowote wala haina tatizo.
Bei ni 5k, 1 month Guarantee. Maelewano yapo
 
Natafuta Galaxy Note 2 au Note 3 .Isiwe imetumika sana Iwe kwenye muonekano mzuri. Isiwe na michubuko sana.Mwenye nayo ani PM
 
Nahitaji iPhone 6 storage iwe zaidi ya 16 gb in good condition.
Kama unayo njoo pm.
 
Iphone 6s plus 128gb,Colour Gold -1,650'000
Iphone 7 128gb,colour Gold -1,650,000.
Iphone 6s plus,32Gb, colour Rose Gold-1,500,000
Iphone 7 32gb,Colour Silver-1,500,000
Simu zote ni Brand new ndani ya Box(Genuine From UK).Kila simu ipo 1tu...call 0675660471
 

Attachments

  • image.jpeg
    101.2 KB · Views: 43
Nina iphone 4 ipo katika hali nzuri nauza 200,000 ama tunaeza fanya exchange kwa android smart phone kwa aliye interested, nichek kwa namba 0719791520
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…