Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji simu aina ya iphone 6s plus (32/64GB) au Samsung Note 5, nina 550k ipo kwenye mfuko wa shati.
 
Nina Samsung j3 (2016) imetumika mwezi mmoja. Nahitaji kubadili na Tecno CX au Samsung J5 (2016)

[HASHTAG]#0765871684[/HASHTAG]
 
Nauza simu Itel S31

Iko poa kabisa

Ram 1Gb

16Gb internal

Network 2G,3G,H+

Camera 5mp front (HD)

Bei 165000Tsh tu.

Location Mbezi Beach(Dar es salaam)

Nipigie hapa tufanye biashara 0675636863


dba0e3912e1c376caf242bc7a8174864.jpg

8dfe067836eefa5bcc44d92bf37533b3.jpg
ec10afb138fcf571e3e0251c3596dc8f.jpg
 
Wakuu habari

Nina 300k mkononi nahitaji Samsung yoyote kali sana kati ya Note 4 au A7...mwenye kuwa nazo anicheki tafadhal
 
Back
Top Bottom