Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji simu aina ya iphone 6s plus (32/64GB) au Samsung Note 5, nina 550k ipo kwenye mfuko wa shati.
 
Nina Samsung j3 (2016) imetumika mwezi mmoja. Nahitaji kubadili na Tecno CX au Samsung J5 (2016)

[HASHTAG]#0765871684[/HASHTAG]
 
Nauza simu Itel S31

Iko poa kabisa

Ram 1Gb

16Gb internal

Network 2G,3G,H+

Camera 5mp front (HD)

Bei 165000Tsh tu.

Location Mbezi Beach(Dar es salaam)

Nipigie hapa tufanye biashara 0675636863



 
TECNO F7

Ipo sokoni
Simu ipo katika hali nzuri.
Ni kwa Tsh 80 tu bila VAT
Pesa hai ongezeki wala kushuka.
Kama umeipenda wasiliana nami
Kwa [HASHTAG]#0673399456[/HASHTAG]
Call. Or Whatsapp.
OFA OFA!!
 
Wakuu habari

Nina 300k mkononi nahitaji Samsung yoyote kali sana kati ya Note 4 au A7...mwenye kuwa nazo anicheki tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…