Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji brand new tablet iwe na 10.1 inch screen na android os kuanzia 5.1 na kuendelea. Any brand maadam iwe mpya kwenye box.
 
Hio ni bei gani?
 
habarI?nitapata wapi housing na battery ya SONY XPERIA U ST25i,mwenye kufahamu duka linalo uza hizi spares naomba anielekeze.
Nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio
 
me nauza huwawei P8 lite, laki tatu tu nakuachia ka yako..mzigo uko bomba sana,
kwanza ni nyepesi
pili ina spidi hatarree
tatu ni 4g
nne ni marshmallow android version
tano we replay tufanye bizness
.......
Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…