Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji brand new tablet iwe na 10.1 inch screen na android os kuanzia 5.1 na kuendelea. Any brand maadam iwe mpya kwenye box.
 
Ndugu TanduDume

Simu ya kuchukua ni Thl 4400 au Tecno l6 kwa ushauri wa wadau t blj ; Osaba - Penye wengi hapaharibiki jambo HUU MDIO UMUHIMU WA JF

Iangalie THL hapa
Code:
 http://www.etotalk.com/thl-4400-white_p5905.html

  • Ultraphone Ultra Long Standby Quad Core
  • Dual Sim
  • 5.0 inch HD
  • 3G 8.0MP
Hio ni bei gani?
 
habarI?nitapata wapi housing na battery ya SONY XPERIA U ST25i,mwenye kufahamu duka linalo uza hizi spares naomba anielekeze.
Nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio
 
1498120589184.jpg
nitapata wapi housing na battery ya hii?
 
me nauza huwawei P8 lite, laki tatu tu nakuachia ka yako..mzigo uko bomba sana,
kwanza ni nyepesi
pili ina spidi hatarree
tatu ni 4g
nne ni marshmallow android version
tano we replay tufanye bizness
.......
Picha
 
Back
Top Bottom