Wauza smartphone tukutane hapa

Blackberry Z10 inauzwa,170,000/= hakuna ufa wala tatizo lolote,whatsap tu inaelekea kuaga
 
Nauza tecno c7

Internal memory 16 GB
RAM 2 GB
camera 16 MP
rangi ya Gold
Ina glass protector
Haina crack wala scratch
Bado mpya..

Bei 180,000

Mawasiliano zaidi 0659337348
 
Tecno C5 in good condition
Double lines na ina 4G
bei: 150k
Location: Keko-DSM
call/txt/whatsapp 0765961152
 
Tecno C5 in good condition
Double lines na ina 4G
bei: 150k
Location: Keko-DSM
call/txt/whatsapp 0765961152
 
Huawei p8 lite.naitaji k260.0754604567

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mwenye L9 plus kama ni mpya au used naomba anipe bei wakuu. Thanks.
 
habarI?nitapata wapi housing na battery ya SONY XPERIA U ST25i,mwenye kufahamu duka linalo uza hizi spares naomba anielekeze.
Nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio
Mkuu ingia eBay.com uagize nje tu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…