Mpya kabisa dukan ni 295-300k hata ukizunguka sana unaweza pata kwa 290k. Ila mi kwangu nauza 295k. Kuna used ina siku kumi inatakiwa 250kMwenye L9 plus kama ni mpya au used naomba anipe bei wakuu. Thanks.
Makufuli alisema tu mwezi wa saba hautomuacha mtu salamaNauza Tecno C5 yangu 150k
nataka nikafuge kuku sasa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] acha tu ila ndio baba yetu tutafanyajeMakufuli alisema tu mwezi wa saba hautomuacha mtu salama
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] acha tu ila ndio baba yetu tutafanyaje
TECNO-C5 Wereva
Mpya kabisa dukan ni 295-300k hata ukizunguka sana unaweza pata kwa 290k. Ila mi kwangu nauza 295k. Kuna used ina siku kumi inatakiwa 250k
Pm ipo tayar mkuuSawasawa kabisa kiongozi.
Nadhani ingekuwa vyema ukaniachia namba yako kiongozi ili owe rahisi kuwasiliana mkuu.
Thank You.
Oooh hook .yote mema..hebu niongoze nifike huko maana Na mimi nahitaji huu uzinadhani wanachelewa kuja wako kwenye ule uzi mwingine wenye maudhui kama huu wako.
iPhone 5 ilikanyangwa na gari screen imepasuka ila kila kitu cha ndani kizima...naiuza kama spare
Bei maelewano
Wauza smartphone tukutane hapaOooh hook .yote mema..hebu niongoze nifike huko maana Na mimi nahitaji huu uzi
Mkuu Nina 300kHaya fasta mzigo huo LG V10
Ram 4GB
Internal 64GB
Fingerprint scanner
Network 4G
Serious buyer njoo inbox na 550,000/= yako
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Mkuu kula 300kNinayo Samsung galaxy J7 duos
Simu imetumika mwezi 1 tu,inakuja na earphone only.View attachment 534088
16 GB
4G
Nauza 420,000/ tu 0715677739
Nimeshauza week sasa.Mkuu kula 300k
Mkuu ingia kupatana pia nmeona mtu anauza kwa ofa yako.Mkuu kula 300k