Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna hitaji kubwa sana la simu janja haswa maeneo ya mikoani..watu wanahitaji kuifungua dunia.kama unasimu yako unaiuza weka detail hapa na contact tufanye biashara..
 
nadhani wanachelewa kuja wako kwenye ule uzi mwingine wenye maudhui kama huu wako.
 
Mpya kabisa dukan ni 295-300k hata ukizunguka sana unaweza pata kwa 290k. Ila mi kwangu nauza 295k. Kuna used ina siku kumi inatakiwa 250k

Sawasawa kabisa kiongozi.

Nadhani ingekuwa vyema ukaniachia namba yako kiongozi ili owe rahisi kuwasiliana mkuu.

Thank You.
 
iPhone 5 ilikanyangwa na gari screen imepasuka ila kila kitu cha ndani kizima...naiuza kama spare
Bei maelewano
 
Wakuu naomba msaada kwa anaefahamu duka linalouza betri za Iphone 5 kwa sh 10000 hapo Kariakoo anielekeze tafadhali maana nalisikia tu
 
Nauza sim aina ya tecno w4,check me pm for details

Sent from my Apple iPhone 7 plus using Jamiiforums mobile app.
 
Haya fasta mzigo huo LG V10

Ram 4GB
Internal 64GB
Fingerprint scanner
Network 4G
94ed5565aec378caefa4e80be31ecac8.jpg
fd9b6953c0cace58b5b2b47d642a81b5.jpg
2b5468472f90d8a201c8882ff403930f.jpg
ea72e1621eecbaab36eb0adde3f176b9.jpg


Serious buyer njoo inbox na 550,000/= yako

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Mkuu Nina 300k
 
5c2d6b70afc69eb696231aa2ca8a5aea.jpg
3728f949cdaada97e95063bd08a86b03.jpg

Jipatie vioo/display complete original kwaajili ya Iphone 6 na iphone 6plus.

Bei: Iphone 6 lcd 150,000, 6plus 200,000.
Contact: 0738 29 87 78.
 
Back
Top Bottom