Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

084730217c9c03d829d7efac355c2dbc.jpg
8efb8d26c36c04e037dccd8e3a5add6a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, mnisaidie kioo cha L9 plus wadau. Thanks.
 
Demo inatofauti gani na clone?
S8 200k??
Demo inakuwa haina operation za network na hata simard haisomi maana kuna chip ambazo zinakuwa zinamiss kabsa zenye kuiwezesha kuaccess hvo vtu. Na circuit ambayo ni usumbufu tu kwa ujumla maana kuna vtu vngne havisupport wala havpo kabsa ktk system yake. Ila kama hyo demo anataka jamaa ina maana anataka kioo kwa 200k =never

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom