Wauza smartphone tukutane hapa

Kwa yeyote anaye deal na accessories za simu naomba msaada bei ya betri ya w5 tecno.ahsanteh

Halaf humu si ipo ID ya watu wa tecno humu.

Sikumbuki inasomeka vipi lakini nakumbuka kama niliiona mkuu.

Aje kutusaidia hizi mambo kwa kweli.

Thanks.
 





Tecno W5 inauzwa

-Screen inchi 5.5

-Ram 1 GB

-Memory ya simu 16 GB

-Network ya 4G LTE

-Kamera ya nyuma MP 13

-Kamera ya Mbele MP 5

-Fingerprint sensor

-Betri la 3000 mAh

-Bei 170,000

-Simu ipo Dar

-Nicheki pm au niquote tu hapa hapa.

Update

Imeshauzwa
 
Street Winner Mobile & Computer solution:
Kwa wale wenye uhitaji wa software za
1.Ku unlock simu bila kuwa na box
2.kuflash simu bila kuwa na box
3.Windows
4. Antivirus
5.Ku unlock modem
6. Data recovery services(Kwa wale walioformat/delete taarifa zao na wanazihitaji Kwenye Simu/flash disk/memory cards/external,camera na computer)
7. Pia kwa wale wenye kuhitaji kufanya Network unlock(sim za promo kutumia line ya Mtandao wowote)
kwa wale wenye simu za vodafone,Alcatel na zte model hizi Smart tab 3g, Vfd 200 & 300,301 3. Vf 685,785 & 875 kuna offer kabambe ya kuunlock network unlock code kwa njia ya server gharama yake ni Tsh 7000 kwa bei ya offer inatakiwa imei #,model namba na malipo ya hiyo huduma ndani ya dakika 15 baada ya kupokea malipo unakuwa umepata code zako na zinafanya kazi kwa 100% pia tunatoa huduma za kuunlock network lock za simu,modem na Router za aina mbalimbali kwa bei nafuu
8. Kwa wale wenye Simu za Alcatel one touch pixi 4 plus power 5023F zenye kutumia line moja na nyingine ikiwa imezibwa imeandikwa unavailable..suluhisho lenu limepatikana kuzifanya zitumie line zote mbili na kuifanya isome line zote(network unlock)
unakaribishwa....Wasiliana nasi
#Text/call/whatsapp 0712842283
FB Group:Se connecter à Facebook | Facebook
FB Page:https://web.facebook.com/Street-Winner-Computer-solution-2…/
Instagram:Streetwinner Mobileand Computersolution
Pia usiache kulike na kujoin page zetu kutakuwa na mafunzo mbalimbali,punguzo na offer mbalimbali za huduma zetu kwa wateja wetu na pia kutakuwa na utatuzi wa matatizo mbalimbali kwa wale watakaoyaleta..

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 

Hamtoi huduma ya unlimited internet kupitia simu mkuu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…