Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Kwa yeyote anaye deal na accessories za simu naomba msaada bei ya betri ya w5 tecno.ahsanteh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa yeyote anaye deal na accessories za simu naomba msaada bei ya betri ya w5 tecno.ahsanteh
Me nina tecno W5 ina mwezi na nusu kwa 250,000 nichek 0718890919Wakuu kwa 250,000 mtanipa simu gani kama ni used au mpya hebu mnipe jibu nione itakayofaa wakuu.
Thanks a lot.
Me nina tecno W5 ina mwezi na nusu kwa 250,000 nichek 0718890919
Kwenye maduka ya kawaida inaweza kuwa chiniAisee, hiki kioo cha L9 plus kinagharimu pesa hiyo mkuu.
Na hapo ndio tecno, kwenye maduka ya kawaida sasa bei ikoje kiongozi.
Thanks.
Kwenye maduka ya kawaida inaweza kuwa chini
Nilihisi hiko kitu kuna siku Tecno C5 kioo chake waliniambia laki na 25, lakini dukani Kariakoo nikakuta ni 35,000.Ni kweli mkuu yupo jamaa mitaa ya Aggrey nimemuulizia akasema ni elf 85.
Nilihisi hiko kitu kuna siku Tecno C5 kioo chake waliniambia laki na 25, lakini dukani Kariakoo nikakuta ni 35,000.
Kwani nazo ni smartphoneNaitaji sabufa nzuri bei iwe kuanzia 160,180,200 vigezo na masharti kuzinga-tiwa pia kama ni hometheater iwe 200,250 wat 3000 au 1000
Npo shinyanga
Smartphone mkuunatafuta wanunuzi wa kuku aina ya saso <chotara> ...ni wakubwa wamefika kg 2.5 mpaka 3 kg ....bei ni 10000tsh kwa kuku mmoja ,wapo kuku 4000...NAPATIKANA IRINGA MJINI
.KUKU WANGU NI WAZURI SANA
0744199435
natafuta wanunuzi wa kuku aina ya saso <chotara> ...ni wakubwa wamefika kg 2.5 mpaka 3 kg ....bei ni 10000tsh kwa kuku mmoja ,wapo kuku 4000...NAPATIKANA IRINGA MJINI
.KUKU WANGU NI WAZURI SANA
0744199435
250k uhakika mkuuI phone 5 clean condition
300k
32 gb
Gold
Ni yangu nakutolea icloud unaeka yako
![]()
![]()
![]()
Street Winner Mobile & Computer solution:
Kwa wale wenye uhitaji wa software za
1.Ku unlock simu bila kuwa na box
2.kuflash simu bila kuwa na box
3.Windows
4. Antivirus
5.Ku unlock modem
6. Data recovery services(Kwa wale walioformat/delete taarifa zao na wanazihitaji Kwenye Simu/flash disk/memory cards/external,camera na computer)
7. Pia kwa wale wenye kuhitaji kufanya Network unlock(sim za promo kutumia line ya Mtandao wowote)
kwa wale wenye simu za vodafone,Alcatel na zte model hizi Smart tab 3g, Vfd 200 & 300,301 3. Vf 685,785 & 875 kuna offer kabambe ya kuunlock network unlock code kwa njia ya server gharama yake ni Tsh 7000 kwa bei ya offer inatakiwa imei #,model namba na malipo ya hiyo huduma ndani ya dakika 15 baada ya kupokea malipo unakuwa umepata code zako na zinafanya kazi kwa 100% pia tunatoa huduma za kuunlock network lock za simu,modem na Router za aina mbalimbali kwa bei nafuu
8. Kwa wale wenye Simu za Alcatel one touch pixi 4 plus power 5023F zenye kutumia line moja na nyingine ikiwa imezibwa imeandikwa unavailable..suluhisho lenu limepatikana kuzifanya zitumie line zote mbili na kuifanya isome line zote(network unlock)
unakaribishwa....Wasiliana nasi
#Text/call/whatsapp 0712842283
FB Group:Se connecter à Facebook | Facebook
FB Page:https://web.facebook.com/Street-Winner-Computer-solution-2…/
Instagram:Streetwinner Mobileand Computersolution
Pia usiache kulike na kujoin page zetu kutakuwa na mafunzo mbalimbali,punguzo na offer mbalimbali za huduma zetu kwa wateja wetu na pia kutakuwa na utatuzi wa matatizo mbalimbali kwa wale watakaoyaleta..
Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app