Wauza smartphone tukutane hapa

note 3 ipo kwenye condition nzuri kabisa. imetumika miezi mi 4 tu. bei 330000
 
Lenovo A 6000 iko hali nzuri ina miezi 6 tu laki 2 Na nusu 250000 ni pm nipo Dar
 
Lenovo A 6000 iko hali nzuri ina miezi 6 tu laki 2 Na nusu 250000 ni pm nipo Dar
 
Aisee, hiki kioo cha L9 plus kinagharimu pesa hiyo mkuu.

Na hapo ndio tecno, kwenye maduka ya kawaida sasa bei ikoje kiongozi.

Thanks.
Itakua rahis zaid ila sio original kama cha kwao,tecno vitu vyao wanauza ghali tofaut na maduka ya kawaida na ndio maana pale kwao kkoo hawauzi simu maana wanajua kbsa hawataweza soko la ushindani
 
Mkuu betri ya w5 inaenda ngapi boss kama unafahamu hilo mkuu? Ahsanteh
W5 kwa maduka ya kawaida haizid 25k ila sio mazur kama ya kwao wakikuwekea wenyewe.. Ngoja nitaeapa namba ya fundi wa pale kwao ukitaka kupitia mlango wa nyuma anakupoozea kias fulan kama navyofanyaga,mi kazi yang mkuu ni kuuza simu uliza swali lolote linalohusu bei za simu za tecno nitakusaidia kama litakua ndan ya uwezo wngu
 
Nilihisi hiko kitu kuna siku Tecno C5 kioo chake waliniambia laki na 25, lakini dukani Kariakoo nikakuta ni 35,000.
Tatzo vile vya maduka ya kawaida vinakua na mwanga tofauti mpka uwe mjanja ndio unaweza kugundua,vingi vinakua na mwanga mweupe tofauti na chenyewe
 
Boss hebu nijuze kuhusu hizi tecno sparks na bei zake kama unazo. Mie nataka nihamie tecno but sijawa na information za kunitosha
 
SEALED
IPHONE 8
GB 64
COLOUR : GOLD
PRICE : 2,050,000
Available At

0654766056 [emoji338]
0762382023
 
IPHONE 6S PLUS
GB 32
Clean Condition.
Phone Comes With Cable
Colour : ROSEGOLD
Bei _____________1 million
No Exchange Deals
0654766056 [emoji338]
 

Safi kabisa mkuu.

Muulize basi huyo jamaa kuhusu kioo kwa mlango wa nyuma atatufanyia ngapi then unijulishe kiongozi.

Thanks a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…