Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simu Kama ipo chukua 190 fasta..Samsung J2Duuu poa
s6 ndio unauza laki 300? ?tatzo kubwa ni nini?Nimeona kuanzia 350 utakuwa ni utanzania. 300k ndo bei.
200ksimu Kama ipo chukua 190 fasta..Samsung J2
200k
nitumie namba yako ya whatsap PM200k
nakupa 550KIphone 6s 64GB inauzwa 770k anayehitaji picha aje inboxx tufanye biashara
Picha na mawasiliano mkuu 250 kama ipo nielekeze nijenote 3 ipo kwenye condition nzuri kabisa. imetumika miezi mi 4 tu. bei 330000
nipo ilala mkuu. kama upo poa nicheki 0655640213. ila 250 upo chini sana. simu ipo bomba sana.Picha na mawasiliano mkuu 250 kama ipo nielekeze nije
Itakua rahis zaid ila sio original kama cha kwao,tecno vitu vyao wanauza ghali tofaut na maduka ya kawaida na ndio maana pale kwao kkoo hawauzi simu maana wanajua kbsa hawataweza soko la ushindaniAisee, hiki kioo cha L9 plus kinagharimu pesa hiyo mkuu.
Na hapo ndio tecno, kwenye maduka ya kawaida sasa bei ikoje kiongozi.
Thanks.
W5 kwa maduka ya kawaida haizid 25k ila sio mazur kama ya kwao wakikuwekea wenyewe.. Ngoja nitaeapa namba ya fundi wa pale kwao ukitaka kupitia mlango wa nyuma anakupoozea kias fulan kama navyofanyaga,mi kazi yang mkuu ni kuuza simu uliza swali lolote linalohusu bei za simu za tecno nitakusaidia kama litakua ndan ya uwezo wnguMkuu betri ya w5 inaenda ngapi boss kama unafahamu hilo mkuu? Ahsanteh
Tatzo vile vya maduka ya kawaida vinakua na mwanga tofauti mpka uwe mjanja ndio unaweza kugundua,vingi vinakua na mwanga mweupe tofauti na chenyeweNilihisi hiko kitu kuna siku Tecno C5 kioo chake waliniambia laki na 25, lakini dukani Kariakoo nikakuta ni 35,000.
Boss hebu nijuze kuhusu hizi tecno sparks na bei zake kama unazo. Mie nataka nihamie tecno but sijawa na information za kunitoshaW5 kwa maduka ya kawaida haizid 25k ila sio mazur kama ya kwao wakikuwekea wenyewe.. Ngoja nitaeapa namba ya fundi wa pale kwao ukitaka kupitia mlango wa nyuma anakupoozea kias fulan kama navyofanyaga,mi kazi yang mkuu ni kuuza simu uliza swali lolote linalohusu bei za simu za tecno nitakusaidia kama litakua ndan ya uwezo wngu
W5 kwa maduka ya kawaida haizid 25k ila sio mazur kama ya kwao wakikuwekea wenyewe.. Ngoja nitaeapa namba ya fundi wa pale kwao ukitaka kupitia mlango wa nyuma anakupoozea kias fulan kama navyofanyaga,mi kazi yang mkuu ni kuuza simu uliza swali lolote linalohusu bei za simu za tecno nitakusaidia kama litakua ndan ya uwezo wngu