Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Sony experia C3 dual ipo fresh haina tatizo nataka kubadili simu tu 300K
 
Nipo musoma ntaipataje na vpi khsu pungufu. Cammon Cx
Ukihitaji utachagua njia ya kuipokea sababu nmezoea kuwapelekea watu wa dar ambao wanaipata ndo wanalipa sasa upo musoma kama ungekua na MTU unaemwamin hapa dar ingekua rahis ningempa yy nae ananipa hela yangu fresh kiroho saf
 
Habari mkuu kwa yeyote mwenye duka,fundi simu nahitaji hiyo housing check tufanye biashara. HOUSING YA NOKIA N97
 
Nahitaji tecno j8 au w5. Budget 150k.
Contact 0762937396
Location mlimani city
 
Jamani tuwe makini na simu za kununua mikononi mwa watu.
Kuna mchezo unaendelea ambao kiukweli sio mzuri.

Mtu anakuuzia simu leo. Unakaa nayo hata miezi minne. Baadae unafuatwa na polisi kuwa simu ni ya wizi.

Tuwe makini. Mimi yamenitokea. Nilinunua samsung s6 edge yenye crack kwa sh 370000. Baada ya kukaa miezi 4, nikafuatwa na polisi
 
Ulinunua humu humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…