Chukua tecno Y3+ ipo katika hali nzuri, bei 80,000/=Nipeni simu ya 80 elfu wakushi iwe imenyooka
Meiz miwiliimetumika kwa muda gani
Mkuu uturejeshe marejesho ukipewa tv ila huyo jamaa ni Tapeli namba moja...gusa unaseHizo tv bado zipo
Ikifika tarehe 15 hujapata, ni pm!Natafuta Samsung galaxy e7
Rangi iwe black kama unayo njoo tufanye biashara
Ipo phantom 5,ram 3gb,internal 32gbUkipata nitag na mm
Oky brother ila nimejaribu kukupm inashindikana, sijui tatizo nini, ila vipi mzigo naweza pata?Ikifika tarehe 15 hujapata, ni pm!
Asante.
Bila shaka yoyoye ndugu.Oky brother ila nimejaribu kukupm inashindikana, sijui tatizo nini, ila vipi mzigo naweza pata?