Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nipeni simu ya 80 elfu wakushi iwe imenyooka
Chukua tecno Y3+ ipo katika hali nzuri, bei 80,000/=
Kila kitu kipo charger, earphones na box lake.
Karibu pm kwa mazungumzo
aa7ca9420d41ba25cb70c1706388c6e2.jpg
 
ni copy au original picha yake ni faints sana huna ambayo iko clear, ina tatizo gani
 
IMG_20171030_133716.jpg


S4 Mini LTE bado ipo
Mint condition
4G supported
internal 8GB na RAM ni 1.5GB
120,000/-
0625 598055
 
Kuna mwenye uelewa wowote na simu za ccit ..maana kunamtu anataka kuniuzia ila sizijui vizur.nisqidien ni ccit p9
 
mwenye i phone 6 tubadilisha na samsung S6 ina miez mitatu SM-G920F
0757147559 nip tayr hain ttz lolote....
 
Back
Top Bottom