Mkuu inatakiwa udhihirishe uaminifu wako kwanza kwa kutoa anuani ya mzigo unapofikia hapa Dar na hilo lithibishwe na wateja wako. Kutuma nusu pesa pekee haitoshi. Hizo chats za asante nimepokea unaweza ukawa unajitumia mwenyewe na kujijibu.
Fanya hivo mkuu, tupatie contact wa hapa Tz ambaye naenda kumlipa pesa ya kumalizia. Nikahakiki kweli anaweza patikana na yeye ndo nitaanza nae wewe ukushindwa kudeliver mzigo
Hizi sema tu ni used, weka link tuone km ni mpya kweli
Unapatikana nchi gani
Hey boss nahisi tunaweza fanya kituu ila Kwanzaa nihakikishie usalama Kwanzaa.
Kwa hapa dar mzgo nachukua wapi mana watu wengii wamelizwa hizi biashara
Uaminifu Kwa asilimia Mia moja fanya hivi.
Ruhusu mtu akuagize mzigo ila wakati wa malipo uwe ni pale ambapo anapokea mzigo wake..
Aukague na aridhike nae kisha ndipo alipie..
Ukifanya hivi mashaka yote yataondoka maana unakua umeondoa mianya ya utapeli.
Chatting pekee haina mashiko Kwamba wewe ni muaminifu.
ItapendezaSawa mkuu ndio nataka kuianzisha hio soon
Upo wapi mkuuNinauza tecno cx 300000
Ni mpya tuwasiriane 0758163232
Weka bei kamandaNauza samsung S4
Memory..32 gb
Ram ..2gb
Bei ni sh 200kWeka bei kamanda
Na picha itapendeza zaidi