Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Mkuu inatakiwa udhihirishe uaminifu wako kwanza kwa kutoa anuani ya mzigo unapofikia hapa Dar na hilo lithibishwe na wateja wako. Kutuma nusu pesa pekee haitoshi. Hizo chats za asante nimepokea unaweza ukawa unajitumia mwenyewe na kujijibu.

Fanya hivo mkuu, tupatie contact wa hapa Tz ambaye naenda kumlipa pesa ya kumalizia. Nikahakiki kweli anaweza patikana na yeye ndo nitaanza nae wewe ukushindwa kudeliver mzigo

Unaweza ukanicheck watsapp ili tuongee fresh mkuu
 
Uaminifu Kwa asilimia Mia moja fanya hivi.
Ruhusu mtu akuagize mzigo ila wakati wa malipo uwe ni pale ambapo anapokea mzigo wake..
Aukague na aridhike nae kisha ndipo alipie..
Ukifanya hivi mashaka yote yataondoka maana unakua umeondoa mianya ya utapeli.
Chatting pekee haina mashiko Kwamba wewe ni muaminifu.

Sawa mkuu ndio nataka kuianzisha hio soon
 
Samsung Galaxy Note 5 black and gold full boxed for sale.
Conditions in excellent condition like new (slightly used for about a month)
ROM (memory) 32 gb
Ram 4gb
Camera 16mp
Size 5.7 (display) inches
Network GSM/HSPA /LTE 4G
Battery 3000mAh
Price black 550k and gold 570k
(Maongezi kiduchu yapo najua vyuma vimekaza)
Contacts 0739332255 or 0652332255.
Karibuni
1ba48e18368355ed2f84ee24a507e91c.jpg

398035c8cc74a561454cae08a49bd4c9.jpg

0958300240086cb6a87a94cf5b629a89.jpg
 
Samsung Galaxy Note 4 For sale(2 PCs remained)
Condition excellent like new with full box and all accessories.
ROM (memory) 32 gb
Ram 3 gb
Network GSM/HSPA/LTE 4g
Size (display) 5.7 inches
Camera 16 mp
Battery 3220mAh
Prices 360k (maongezi kiduuuchu yapo vyuma vimekaza)
[emoji390][emoji338] 0739332255(Calls, texts and WhatsApp) or 0652332255
You're welcome
e89ba93479f8919ca48781f34c644566.jpg

3f5b11345716b17f5e6b3dbc5eb409b5.jpg

a6a9d725d0ec7b3fd25a97dd36911029.jpg
 
Back
Top Bottom