Wauza smartphone tukutane hapa

Iphone 5s ( silver)
In a Excellent condition
Full & proper functioning.
Location: Dsm
Contacts: 0716 510153
Price: 350,000

 
NATAFUTA HIZI SIMU MBILI (SPARE PARTS)
1. LG G2

2. SAMSUNG S4
NOTE. DISPLAY ZIWE ZINAFANYA KAZI


NIPM KAMA UNAZO
 
wakuu kama kuna mtu yupo kwenye group la whatsapp la wanaotumia iOs naomba aniunge au anipe link,kuna ujuzi nauhitaji kutoka kwa hao wadau,asante!
 
Hawa jamaa ni abroad au magumashi we vitu bei yao bora hata ununue hapahapa bongo asee otg cable tena zile za k/koo buku tatu wao wanakwambia buku 10 hili wajipime kwanza asee
We don't sell any fake product. And we will stick to that for the sake of our brandy. Hamna genuine cable ya buku 3 hata hiyo kkoo
 
We don't sell any fake product. And we will stick to that for the sake of our brandy. Hamna genuine cable ya buku 3 hata hiyo kkoo
Usikatae jamaa kasema ukweli.
Binafsi pia nilitegemea muwe na bei reasonable lakini cha ajabu bei zenu kubwa kuliko hata hapa nyumbani..sasa kuna haja gani kufanya biashara na nyinyi !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…