Biubui Technologies
Member
- Dec 8, 2017
- 42
- 13
Ukicompare bei zetu na kkoo jaribu kucompare ubora wa bidhaa pia ukilijua hilo unafanya maamuzi binafsi. And we are not a local retailer everything is shipped from Moscow, Russia na hatuna kitu chenye guarantee chini ya mwaka mmoja hata kama ni headphone. Don't expect that at kariakoo price.Usikatae jamaa kasema ukweli.
Binafsi pia nilitegemea muwe na bei reasonable lakini cha ajabu bei zenu kubwa kuliko hata hapa nyumbani..sasa kuna haja gani kufanya biashara na nyinyi !?