Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaiuza bei gani?Jamani nauza LG V10 ram 4gb internal GB 64 camera megapixel 16 cm bado mpya kabisa
Kaka kwa price yako ninaNahitaji simu kali kwa 75K mwenye nayo anione
Hahaaa hiyo ndio 75k?Kaka kwa price yako nina
Iphone 6+ 16 gb full box
Colour gray/ silver / gold
Price 740k
Iphone 6 64 gb 790k
Iphone 6 16 gb slightly used 630k
Tuna Samsung pia s6 edge plus 620k.
Karibu waeza taja pia simu uitakayo mkuu.
Then go buy a new oneNahitaj tecno spark budget 170k..isiwe used more than 1 month.. Na accessories zake zote..
Anazngua huyooHahaaa hiyo ndio 75k?
Hyo ni 75k??Kaka kwa price yako nina
Iphone 6+ 16 gb full box
Colour gray/ silver / gold
Price 740k
Iphone 6 64 gb 790k
Iphone 6 16 gb slightly used 630k
Tuna Samsung pia s6 edge plus 620k.
Karibu waeza taja pia simu uitakayo mkuu.
Mkuu unaweza kuwa na note 4 iliyo kwenye condition nzurii ...4G??ni S6 edge bei 450000/= chukua no njoo whtsapp tufunge biashara
sina mkuuMkuu unaweza kuwa na note 4 iliyo kwenye condition nzurii ...4G??
Bei ni sh ngapi??
Dooooh I didn't put my spectacles on...[emoji85] [emoji12]Hyo ni 75k??
Hiyo mkuu labda tecno werevaaa (in Wolper gambe's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji85]Hyo ni 75k??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ingekuwa kubet ushaliwaDooooh I didn't put my spectacles on...[emoji85] [emoji12]
Fanya mapicha picha niangalie[emoji3] [emoji3]Hiyo mkuu labda tecno werevaaa (in Wolper gambe's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Hahahah Gladsomely I do neither betting nor bidding.[emoji23] [emoji23] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] ingekuwa kubet ushaliwa