marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Mimi ninayo s5 mpya line moja vipi unaihitaji?Punguzo mkuuu jee IPO vizr without tatizo.
Kitu gan kina scratch mkuu angalia vzr
Hahahaha...
Ebu onyesha scratch hata moja hapo
Labda kama hujui maana ya scratch
We jamaa ulinishtua kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha...
Ulitegemea tungeonaje bila picha...Acha ushamba wewe...ukiweka tangazo la kuuza bidhaa weka na picha... sio mambo ya kienyeji
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Box likowapi mpaka ufunge vitu kwenye hicho ulichofungia...hii mpya kweli!!?
Ebu onyesha scratch hata moja hapo
Labda kama hujui maana ya scratch
Hio ndio njia mpya ya jf kuwakumbusha kumalizia baadhi ya details za tangazoWe jamaa ulinishtua kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walionisafirishia ndiye aliyesababisha haya yote but wakati naagiza nilipia had gharama ya box kwahiyo aliyekuja kunikabidhi mkononi kaileta hivyo hata hizo chaja na foni zimefungwa utepe wa kampuni ya usafirishajiBox likowapi mpaka ufunge vitu kwenye hicho ulichofungia...hii mpya kweli!!?
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Okay SawaWalionisafirishia ndiye aliyesababisha haya yote but wakati naagiza nilipia had gharama ya box kwahiyo aliyekuja kunikabidhi mkononi kaileta hivyo hata hizo chaja na foni zimefungwa utepe wa kampuni ya usafirishaji
Pamoja