Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Point ni ........!!?Kumbe na wewe unauza simu!! Sasa kwanini ulikua unanikazia bro?
we nambie uliyonayo chiefMkuu unahitaji ya dukani au used?
Kuna a friend of mine anauza Samsung .... Anataka 200k
Nakupa mpya kabisa ya kwenye box kwa sh 285,000. Napatikana kariakoo
Thanks bro nimeiona namba mkuu.
Natafuta nokia e6 mbuvu ili nitoe spea kama unayo nichek0764411446Tecno camon c7 inauzwa bei ni 180,000 haina tatizo loloteView attachment 544329View attachment 544330View attachment 544331
Natafuta Nokia e6 mbovu ili nitoe spea kama unayo nicheki0764411446
Jipatie vioo/display complete original kwaajili ya Iphone 6 na iphone 6plus.
Bei: Iphone 6 lcd 150,000, 6plus 200,000.
Contact: 0738 29 87 78.
Sina kamanda!!!Natafuta nokia e6 mbuvu ili nitoe spea kama unayo nichek0764411446
OK mwenye nayo anijulisheSina kamanda!!!
Wanakuja!!!OK mwenye nayo anijulishe
Nawasubiri boss nngeipata kipindi hiki ingekua poa sanaWanakuja!!!
Vuta subira kamanda watu sasa hiv wapo wanatubuN
Nawasubiri boss nngeipata kipindi hiki ingekua poa sana
Fund Wangu anasema mpaka ntafte kama hhyo ili atoe kakifaaVuta subira kamanda watu sasa hiv wapo wanatubu
Vip mkuu ya J2 nawezapata na ni bei Gani?Natafuta Nokia e6 mbovu ili nitoe spea kama unayo nicheki0764411446
Natafuta spea ya hiyo simu kuptia zinazofanana mpaka sasa sjapata je unayo?Natafuta Display ya sumsung J2 mwenye Used au Mpya ukiweka bei yake itapendeza zaidi.. Au kama kuna mwenye kujua bei yake dukani anijuze..