Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

5c2d6b70afc69eb696231aa2ca8a5aea.jpg
3728f949cdaada97e95063bd08a86b03.jpg

Jipatie vioo/display complete original kwaajili ya Iphone 6 na iphone 6plus.

Bei: Iphone 6 lcd 150,000, 6plus 200,000.
Contact: 0738 29 87 78.
Natafuta Nokia e6 mbovu ili nitoe spea kama unayo nicheki0764411446
 
Nauza iPhone 6s 64GB
ROSE GOLD colour! 1M iko na hali nzuri saana only 4 months used.
Vifaa vyake vipo pia.
Contact: 0753620446
 
Natafuta Display ya sumsung J2 mwenye Used au Mpya ukiweka bei yake itapendeza zaidi.. Au kama kuna mwenye kujua bei yake dukani anijuze..
 
Natafuta Display ya sumsung J2 mwenye Used au Mpya ukiweka bei yake itapendeza zaidi.. Au kama kuna mwenye kujua bei yake dukani anijuze..
Natafuta spea ya hiyo simu kuptia zinazofanana mpaka sasa sjapata je unayo?
 
Back
Top Bottom