mnyama the worrior
New Member
- Jan 21, 2018
- 1
- 1
190k fasterrrrrKuna S4 mpyaa nauza shilingi laki 250
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wekeni na simu za bei ya watoto wa wakulima, mbona mko biased ivo!!!
Tecno spark plus njoo nikupe 0693010101Budget mia 2...
Kuna simu gani naweza pata wakuu
Mkuu hiyo tecno spark sinimeona wadau humu wanauza mpaka 170Tecno spark plus njoo nikupe 0693010101
Inamuda gani!?samsung galaxy j2..
2017
haina tatzo lolote
inakaa na chaj vzur
nyeupe
bei 155,000
0765158387
miezi mi 4Inamuda gani!?
Mkuu mbona yaonesha kama ni zaid ya miez mi4miezi mi 4
ni mi nne tuuMkuu mbona yaonesha kama ni zaid ya miez mi4
Mkuu kioo bado kipoKWA ANAEHITAJI KIOO CHA SAMSUNG GALAXY S6 ANICHECK 0763976109. 0658190978
Mkuu kioo bado kipoKWA ANAEHITAJI KIOO CHA SAMSUNG GALAXY S6 ANICHECK 0763976109. 0658190978
Sina duka mkuu. Ninazo nyumbani napatikana airport. Lakini tunaweza kuonana popote katikati ya jiji mkuuMkuu una duka la simu au unauzia wapi
NiPM mkuu kama unahitaji kuona mzigoMkuu una duka la simu au unauzia wapi
naitaji hiyo simu ila niko singida naipatajeMara paaap mzigo wa Samsung galaxy s6 in town.
Colour gold, dark blue and white.
Memory 32 gb
Ram 3 gb
Camera 16 mp
Network LTE 4G
Price 440k
Contacts 0652332255 or 0739332255
(grease tunapaka kwa mbaaali[emoji2] )
Kwa wadau mawinga msiogope tutalindanaa almradI hakuna George atakae rudi bush[emoji2] [emoji2] .
npo dsm labda sim yako nikutumie kesho kwenye basi gani maana hapa nna galaxy j5 kwa ajili yakoniko singida nahitaji simu nzuri gharama laki3 aina ya simu nataka samsung au iPhone