Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Wasalimie Namasakata mkuuNina laki mbili nahitaji simu na nipo tunduru mjini hapa
Kuna mia hamsinKuna S4 mpyaa nauza shilingi laki 250
kuna j2 njoo nikupe nzuri sana hiiKuna mia hamsin
Hahahahaha... zimefika mkuuWasalimie Namasakata mkuu
Njoo na bei mkuuNauza oppo f3 nipo mwanza
Storage 64gb
Ram 4gb
Camera ya mbele 16
Ya nyuma 13
530,000Njoo na bei mkuu
Kweli hii bei ya Dodoma mkuu.HTC One m7
Storage 32GB
Network 4G LTE
Price 300,000/-
Place Dodoma
View attachment 686439 View attachment 686440
Kweli hii bei ya Dodoma mkuu.
Wauza smartphone tukutane hapaniko singida nahitaji simu nzuri gharama laki3 aina ya simu nataka samsung au iPhone
copy yake au kwa lugha rahis FAKEClone ndio zinakuaje mkuu?
ninayo imecrack kiooWadau Tecno CX Camon mwenye nayo tuongee bei
Mkuu dukan mia 3 alf yako ina creak ya kioo bado 250 daaah kuwa na huruma.mkuuninayo imecrack kioo
250k
dukAn 350kMkuu dukan mia 3 alf yako ina creak ya kioo bado 250 daaah kuwa na huruma.mkuu
poa twende 200kMkuu dukan mia 3 alf yako ina creak ya kioo bado 250 daaah kuwa na huruma.mkuu
Tuma picha tuone crack hiyo mkuupoa twende 200k
Na umetumia muda ganipoa twende 200k
picha nakutumia keshoNa umetumia muda gani