Wauza smartphone tukutane hapa

naitaji hiyo simu ila niko singida naipataje
Nashauri umuagize ndugu ama jamaa yako wa karibu aje akuchukulie then atakutumia yee.
Hatujakaa sawa kufanya delivery nje ya Dar bado mkuu.
Karibu sana
 
tatizo hizi simu kuna clone na OG
Sisi Tuna model za Vietnam, Korea, za mitandao kama T-mobile na AT&T.
Bila kisahau model F global version.
Tena twashauri kama first time twafanya biashara nawee uje na mtaaalaam unaemuamini akukagulie ama akupe keys zakufanya thorough verifications mpaka ujiridhisheeee
 
Mwenye Samsung S5 used akuje inbox

16 GB internal
4G LTE
2GB RAM
FINGERPRINT INAYOFANYA KAZI
KAMERA SAFI

BEI OFFA 200-230K
 
Mkuu s6 edge unazo shilling ngapi?
 
Una patinakana wapi of icin pako, ni mpya au used
 
Kuna Sumsung S6 inauzwa ipo kwenye hali nzuri inahitaji laki tatu na nusu

Nipo mwanza

0762007038
 
Habari wakuu ninauza

Iphone 6s 16gb laki 6 na 90
Iphone 6s 16gb laki 7 na 90
Samsung galaxy s7 edge laki 7 na 40

Simu ni mpya
Kwa mawasiliano zaidi
Whatsapp : +8615567970407 s
 
Samsung J5
Inamuonekano mzuri betr lake jiwe sana...... ipo hapa kwa 240 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…