AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Namba ya sumi kijanaNauza Samsung Galaxy A5 ( 2015) kwa bei chee 320k tu, ni mpya kabisa imetumika miez 5, kali kuanzia camera, gold colored
Mia 3 vipSAMSUNG GALAXY S6 INAUZWA TSH.380,000 LOCATION KIGAMBONI. SIMU IMETUMIKA MWEZI. UNAPATA FULL ACCESSORIES. CONTACTS: 0677888412 Na 0625612638
INA 3gb ram, 32gb storage, 16mp camera, ina support 4g, 2.1GHz Quad + 1.5GHz processor, ina record 4k VideosView attachment 688538 nyuma na mbele, Fingerprint Sensor
Namba ya simu kijana
Ipo kwa 250kHiyo simu ni moja inaitwa tecno camon cx
Pokea 200Ipo kwa 250k
Zipo nyingi tu ila data unaacha on afu huitumi na yenyewe unaweka kwenye droo tu week lazima ikateMsaada wadau simu aina gani ambayo betri yake ni imara sana, pengine unaweza kutumia hata wiki moja huku data ikiwa on?
Punguza masihara basiMsaada wadau simu aina gani ambayo betri yake ni imara sana, pengine unaweza kutumia hata wiki moja huku data ikiwa on?
Hahahaa,aya bwana.Zipo nyingi tu ila data unaacha on afu huitumi na yenyewe unaweka kwenye droo tu week lazima ikate
Zipi hizo, tutajie basi mkuu.Zipo nyingi tu ila data unaacha on afu huitumi na yenyewe unaweka kwenye droo tu week lazima ikate
Mkuu vip ushapata kuna s6 edge jiwe saafi kabisaNahitaji Samsung s6edge,Au note 5
Offer 500k ipo hapa isiwe clone maana yake tutakosana hata used sawa tu,ilimradi isiwe copy
Simu ya mezaniMsaada wadau simu aina gani ambayo betri yake ni imara sana, pengine unaweza kutumia hata wiki moja huku data ikiwa on?
WhatsApp 0715490503HTC One m7
Storage 32GB
Network 4G LTE
Price 300,000/-
Place Dodoma
View attachment 686439 View attachment 686440
No ya tigo nmeambiwa aipo ya voda upokeiiiiSamsung galaxy A7 2017.
Inauzwa 280k lakin Maongezi yapo
Location MWANZA
No..0674250887 whaatsap. Or 0743607699 sms
Pia kuna SAMSUNG S5 price 280k maongezi yapo piq
Daa kwel nlkua nme ikosea iyo ya tigo but tayar nme editeNo ya tigo nmeambiwa aipo ya voda upokeiiii