ERI2012
Member
- May 23, 2015
- 20
- 3
Wadau nina blackberry z10 nauza 350,000,pia ninayo galaxy s5 nauza 500,000 ina saa yake ambapo simu unaweza kuiacha nyumbani ukavaa saa tu na ukaendelea kupokea simu,kupiga,kutuma sms n.k.in short ni watch gear fit.simu zimesimama.
Unaweza kunisaidia kwa kunipa hizo specification zake za hiyo sumsang garaxy s5?