Wauza smartphone tukutane hapa

JAMANI KWEMA HUMU, NATAFUTA NOTE 4 ORIGINAL/GENUINE SIO CLONE NAPATA MADUKA YAPI KWA DAR, NAONA MADUKA MENGI SANA WANAUZA HIZI CLONE. MSAADA PLEASE MADUKA ZINAPOPATIKANA HIZO NOTE 4 ORG.
MAWASILIANO YANGU 0654121340 KWA MSAADA ZAIDI. AHSANTENI
Njoo nina note 5 og whats app 0689800817
 
Wakuu nahitaji TV 32" iwe na HDMI out na iwe na uwezo wa kusoma Dolby, DTS kwa Flash. Pesa ipo sio ya kubangaiza. Na kama una home theater yenye HDMI in yani naitafuta sanaaaaaaaaaaaaaa pesa ipo nawwza ghaili hata kununua TV ( Zingatia izo HDMI in/out) kama zipo port zote mbili poa au kama ipo moja lakini inafanyakazi interchangeably poa pia
 
Sio clones hii kijana.!
 
NAUZA INTERNAL HARDDISK 500GB
75,000/=

NA PIA NAUZA GALAXY S4 MPYA KABISA 200,000/=

NPO DSM 0765158387
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…