Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

JAMANI KWEMA HUMU, NATAFUTA NOTE 4 ORIGINAL/GENUINE SIO CLONE NAPATA MADUKA YAPI KWA DAR, NAONA MADUKA MENGI SANA WANAUZA HIZI CLONE. MSAADA PLEASE MADUKA ZINAPOPATIKANA HIZO NOTE 4 ORG.
MAWASILIANO YANGU 0654121340 KWA MSAADA ZAIDI. AHSANTENI
Njoo nina note 5 og whats app 0689800817
 
Nahtaji Samsung galaxy C7 pro kuna offer ya 600

Ama A8 2016 iko offer ya 500
Screenshot_20180430-214039.jpg
 
Wakuu nahitaji TV 32" iwe na HDMI out na iwe na uwezo wa kusoma Dolby, DTS kwa Flash. Pesa ipo sio ya kubangaiza. Na kama una home theater yenye HDMI in yani naitafuta sanaaaaaaaaaaaaaa pesa ipo nawwza ghaili hata kununua TV ( Zingatia izo HDMI in/out) kama zipo port zote mbili poa au kama ipo moja lakini inafanyakazi interchangeably poa pia
 
Nauza NOKIA N10
SIMU YA NOKIA YENYE ANDROID FORM. TOLEO JIPYA. NI MPYAAA .FULL BOX .UNAPATA KILA.KITU CHAKE.RAM 2 GB.INTERNAL 32GB STORAGE .CAMERA 16 MEGEPIXELS .ANDROID VERSION 7.CALL O787119969.WHATS APP 0689800817.HII SIMU INAHITAJI MTEJA HARAKA IWEZEKANAVYO .NIPO DAR ES SALAAM .ADRESS ILALA.NIPO ILALA.BEI 300000 SHS
Sio clones hii kijana.!
 
NAUZA INTERNAL HARDDISK 500GB
75,000/=

NA PIA NAUZA GALAXY S4 MPYA KABISA 200,000/=

NPO DSM 0765158387
 
Back
Top Bottom