Wauza smartphone tukutane hapa

nina samsung note 4 duos 'line mbili' Internal 16 Gb, Ram 3 Gb ipo kwenye hali nzuri '270000' maongez yapo kidogo mawasiliano *0718334325*
 
nahitaj used smartphone yenye display kubwa kidg na camera nzuri
itel s32 or yenye sifa hizo
tecno c8 c5 L8
offer 100k

0759753588
 
NAUZA Samsung galaxy tab 4 .imepata line kids go .ram 3 gb . Internal storage 16 gb Unapata NA memory card ya 32gb .Bei yake 290000 call 0787119969 . Nitext what's app 0689800817
 
Nauza samsung galaxy note 4. Ipo safi sana. Ram 3GB
Storage 32GB .ina pen yake safi sana .call 0787119969. Whatsapp 0689800817. Nipo dar es salaam .bei ni 320000 . Maongezi kuhusu bei yanakubalika
Picha
 
Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.

bei milioni ishirini tu

simu:0713-039875 kwa picha zaidi
 
Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.

bei milioni ishirini tu

simu:0713-039875 kwa picha zaidi
Yaani game ya simba na yanga inaanza mpka inaisha bado nipo njiani naisaka nyumba.......duh ila humu zinauzwa simu sio nyumba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…