Wauza smartphone tukutane hapa

Note 4 alafu ina internal ya 16gb?
kabla ya kushangaa ungefanya uchunguzi mkuu,note 4 zina 32 gb & note 4 duos zina 16 gb kwa nijuavyo mimi lakini, kama nimekosea nilekebishwe kwa faida yangu na wengine maana humu tunawekana sawa. *simu imeuzwa*
 
Iphone 6S 16GB clean condition price 700k
Negotiable Contact:0713310711
 
Attachments

  • IMG-20180526-WA0007.jpg
    62.3 KB · Views: 45
kabla ya kushangaa ungefanya uchunguzi mkuu,note 4 zina 32 gb & note 4 duos zina 16 gb kwa nijuavyo mimi lakini, kama nimekosea nilekebishwe kwa faida yangu na wengine maana humu tunawekana sawa. *simu imeuzwa*
Nimeshangaa tu mkuu maana sijawahi kuona wala kusikia
 
Nahitaji samsung s4
Location: mlimani city
Budget: 140k
Contact : dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…