kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 588
- 463
Naitaji smart ya 70.Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
Offer yako labda unaweza nishawishi niuze yanguNahitaji Tecno W5 used
Nina mate 9 inatakiwa 500kNahitaji huawei mate8 dual sim offer yangu 380k
Chukua 400kNina mate 9 inatakiwa 500k
Hapn bossChukua 400k
Ngoja kun mdada anayo mate 8 nitamwambia maana nilisikia anataka kuiuza,nitakupa mawasiliano yake nikimwona leo jion au kesho na kwa vile ile alinunuliwa tu hata bei hajuiChukua 400k
Poa kiongozi mwambie 380k nampa ipo kwenye mfuko wa shati hapaNgoja kun mdada anayo mate 8 nitamwambia maana nilisikia anataka kuiuza,nitakupa mawasiliano yake nikimwona leo jion au kesho na kwa vile ile alinunuliwa tu hata bei hajui
Naongeza 20000 jamani mwenye nayo nahitaji harakaMwenye tecno w4 used nahitaj nna 80000
0693010101
Pic plzNina Sumsung J2 kioo kimepasuka naiuza 50k
Nipo Mwanza
Ilipasuka kioo AiDisplay yani haionyeshi chochote ila ukiweka Lain ukiwasha inawaka na ukipiga inaita,ukituma text inatoa mwito wa sms kufika, Na ipo kwenye hali nzuri nichek 0762007038 kesho ntaipiga picha nkutumiePic plz
kama uko dar nenda kwa mafundi simu mtaa wa makongoro,utaipata kwa 15 used,ni nzuri Zaidi.Mwenye uelewa wa sehemu naweza kupata betri za Iphone 5 naomba anijuze na bei yake
kama uko dar nenda kwa mafundi simu mtaa wa makongoro,utaipata kwa 15 used,ni nzuri Zaidi.