Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nina Iphone 6 gb128 naiuza, usawa umekaza, nataka nifuge kuku, ukihitaji ni PM
 
Ngoja kun mdada anayo mate 8 nitamwambia maana nilisikia anataka kuiuza,nitakupa mawasiliano yake nikimwona leo jion au kesho na kwa vile ile alinunuliwa tu hata bei hajui
Poa kiongozi mwambie 380k nampa ipo kwenye mfuko wa shati hapa
 
Nahitaji kioo cha hii simu tafadhar
IMG_20180706_131159.jpg
IMG_20180706_131217.jpg
IMG_20180706_131248.jpg
 
Ilipasuka kioo AiDisplay yani haionyeshi chochote ila ukiweka Lain ukiwasha inawaka na ukipiga inaita,ukituma text inatoa mwito wa sms kufika, Na ipo kwenye hali nzuri nichek 0762007038 kesho ntaipiga picha nkutumie
 
Galaxy j2
Rangi nyeusi
Nauza kwa 140k
Location ni Tabata kinyerezi.
Kwa picha nicheck Telegram kuptia 0763976109 au nipm tufanye bussiness
 
Mwenye uelewa wa sehemu naweza kupata betri za Iphone 5 naomba anijuze na bei yake
 
Back
Top Bottom