ulizia kwa mnaigeria,kwa mafundi simu mtaa wa makongoro.Huu mtaa uko maeneo gan mkuu
ulizia kwa mnaigeria,kwa mafundi simu mtaa wa makongoro.
Naomba kujua bei ya tecno phantom five mpya ...
Ahsante
Jamani nimeuliza phantom fiveMkuu kuna Phantom 8 kwa 650,000 full box
mkuu nenda kariakoo,mtaa wa mafundi simu ni mmoja.Mkuu nisaidie namba yake kama unayo Pm tafadhali au nicheki hapa 0752336273 unielekeze vyema
Kuna 30k hapaIlipasuka kioo AiDisplay yani haionyeshi chochote ila ukiweka Lain ukiwasha inawaka na ukipiga inaita,ukituma text inatoa mwito wa sms kufika, Na ipo kwenye hali nzuri nichek 0762007038 kesho ntaipiga picha nkutumie
100k ipo mfuko wa shati hapaNauza galaxy j2 j200h
Black colour
Bei ni 150k
Location ni Tabata segerea
Kwa picha njoo whatsapp 0763976109
0762007038 nichek hapo mkuuKuna 30k hapa
240 nipe nikupeSamsung S4 mpya used 1 week, nicheki tufanye biashara..bei 290k
No 0765819387
imechoka hiyoShida ni betri haikai mda mrefu na haina mfuniko upande wa nyuma
Offer ni 18k tsh 18,000View attachment 807398View attachment 807399View attachment 807400
5000 ipo mfukonimechoka hiyo
5000 ipo mfukonShida ni betri haikai mda mrefu na haina mfuniko upande wa nyuma
Offer ni 18k tsh 18,000View attachment 807398View attachment 807399View attachment 807400
Hmm wewe huo utani sasa5000 ipo mfukon