Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

simu inauzwa
tecno K7.
Ina miez minne tu.
175,000/=
Ipo dar.
Atakaye hitaji inbox au
0687552989
0687552989
Bei inazungumzika
 
simu inauzwa
tecno K7.
Ina miez minne tu.
175,000/=
Ipo dar.
Atakaye hitaji inbox au
0687552989
0687552989
Bei inazungumzika
 
Naomba kujua bei ya tecno phantom five mpya ...
Ahsante
 
Nahitaji mtu mwenye kuuza cover ya samsung galaxy s5 sport. Kama yupo anifate inbox
 
Mkuu nisaidie namba yake kama unayo Pm tafadhali au nicheki hapa 0752336273 unielekeze vyema
mkuu nenda kariakoo,mtaa wa mafundi simu ni mmoja.

pandisha juu kushoto kama unaenda china plaza,ukitokea kituo cha gerezani cha basi,kabla hujafika huko china plaza ulizia mtaa wa makongoro.
 
Ilipasuka kioo AiDisplay yani haionyeshi chochote ila ukiweka Lain ukiwasha inawaka na ukipiga inaita,ukituma text inatoa mwito wa sms kufika, Na ipo kwenye hali nzuri nichek 0762007038 kesho ntaipiga picha nkutumie
Kuna 30k hapa
 
Samsung S4 mpya used 1 week, nicheki tufanye biashara..bei 290k
No 0765819387
 
SAMSUNG J7

Haina inafanya kazi, betri 20hrs, haina kreki ila imechubuka rangi housing kidgo. Tatizo lake touch yake ina stack mara nyingine

Anataka 150,000 na 10,000 yangu ya udalali. njoo PM nikuunge nae
IMG_20180712_134230.jpg
IMG_20180712_134219.jpg
IMG_20180712_134141.jpg
 
Back
Top Bottom