70k kesho tuonane. Nipo Tabata segereatechno wx3 ,safi kabisa android 7, internal 8gb na 1 gb ram...kwa 95000 tu location ukonga dar es salaam ,0625522261View attachment 865391View attachment 865392View attachment 865393
Upo wapi mkuuHuawei P9
RAM 4 GB
Internal 64 GB
Camera inatoa clear kama iphone
Haina shida za battery, charge inakaa muda mrefu.
Sababu ya kuuzwa ni ninamiliki simu mbili, nataka kubaki na moja.
Ninahitaji 370k ila sisi wote ndugu, maongezi yapo.
Mahali ni jiji la naibu raisi
Mawasiliano PM View attachment 859994View attachment 859995View attachment 859996View attachment 859997View attachment 859998View attachment 859999
80k nikuletee70k kesho tuonane. Nipo Tabata segerea
Basi imenishinda80k nikuletee
ishauzika mkuuUpo wapi mkuu
ipo hiyo 70 nikuleteeBasi imenishinda
au nicheki kwa 0625522261ipo hiyo 70 nikuletee
Upuuzi tena wa hali ya juu kabsahizo simu mnavyozitangaza na bei yake.. hahaha... eti s3 laki 2... si upuuzi huu
Tatzo wabongo huwa mnapenda sana kuzunguka. Tambua mimi sinunui Tecno kutumia. Namchukulia mtu anaeanza maisha ya smartphone. Sasa unavyoanza kukomaa mara 80 baadae mara unakubali 70 ndo nn!ipo hiyo 70 nikuletee
Hata mie natafuta kioo hikiNahitaji Display ya galaxy S6
I Phone 4 (White)
• Capacity 6.2 GB
• Version 7.1.2
Price: 420,000 Tsh
View attachment 866208View attachment 866210
Laki nne na ishiriniHiyo ni elfu 42 au laki nne na ishirini?
Imebidi nitafute microscope na mimi ili niweze kuona vizuri [emoji23]Hiyo ni elfu 42 au laki nne na ishirini?
Hemu watu waache masihara haisee.... Laki nnne na 20 iphone 4!!!!Hiyo ni elfu 42 au laki nne na ishirini?
usijari boss...wabongo sie utuzoee muuzaji hataki loss na mnunuaji hataki loss ni principle tu ya biashara...kubagein,kupandishiana bei na kushushiana bei ni kawaida kwenye biashara.......kuna muda mnunuaji ananua kwa sababu hana jinsi hata kama sio hicho anachokitaka vivyo hivyo kwa muuzaji....usiwaze mkuu ndo biashara hiyo...[emoji120]Tatzo wabongo huwa mnapenda sana kuzunguka. Tambua mimi sinunui Tecno kutumia. Namchukulia mtu anaeanza maisha ya smartphone. Sasa unavyoanza kukomaa mara 80 baadae mara unakubali 70 ndo nn!
Asante. Aya tuendelee kulijenga Taifausijari boss...wabongo sie utuzoee muuzaji hataki loss na mnunuaji hataki loss ni principle tu ya biashara...kubagein,kupandishiana bei na kushushiana bei ni kawaida kwenye biashara.......kuna muda mnunuaji ananua kwa sababu hana jinsi hata kama sio hicho anachokitaka vivyo hivyo kwa muuzaji....usiwaze mkuu ndo biashara hiyo...[emoji120]
usijari boss...wabongo sie utuzoee muuzaji hataki loss na mnunuaji hataki loss ni principle tu ya biashara...kubagein,kupandishiana bei na kushushiana bei ni kawaida kwenye biashara.......kuna muda mnunuaji ananua kwa sababu hana jinsi hata kama sio hicho anachokitaka vivyo hivyo kwa muuzaji....usiwaze mkuu ndo biashara hiyo...[emoji120]