Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Smartphone ya kununua Kwa mtu be careful,kuna jamaa yangu ana kesi ya kuvunja na kuiba kwenye nyumba ya mtu kisa Smartphone tena kadakwa baada ya mwaka kupita.Anadaiwa kuwa alivunja nyumba ya mtu mitaa ya Bunju na kuiba simu,na vitu vingine vyenye thamani ya zaidi ya Milioni Saba.Kasota kinoma kituo cha polisi mabwepande
 
Njoo na 350k nikuachie Nokia 6 yenye 32GB 3GB ram na mambo mengne mazuri kama 16mp za rear [emoji328] pia na 8mp za selfie...
 
Iphone 6 plain
64 gb internal memory
Clean condition
Price tsh. 550,000/=

Location: Ubungo external
Contact 0766334991 call/text/whatsapp
IMG_20180917_145110.jpeg
IMG_20180917_144958.jpeg
IMG_20180917_145042.jpeg
IMG_20180917_145023.jpeg
IMG_20180917_145037.jpeg
IMG_20180917_145029.jpeg
 
Huawei G8
Stroage 16 GM
RAM 2
Price 250,000
Location MWANZA
0674250886 whatsup only




Najarbu ku upload pic lakini zina goma
 
IMG_20180915_184243.jpg
IMG_20180915_184237.jpg
IMG_20180915_184321.jpg


Iphone 6s plus
Storage - 64GB
Bei ni 750k
Location Tabata segerea
Nicheck 0658190978
 
Mwenye REDMIN NOTE 4,

REDMIN NOTE 5

anicheki [emoji395][emoji395]
 
Back
Top Bottom