Wauza smartphone tukutane hapa


sory kama nitakukwaza ndugu ila hii simu niliiona na ninaihtaj ila kwa picha tu nikagundua n copy

1. Position ya flash inatakiwa iwe kulia,
2. hilo neno samsung hapo chini halitakiwi liwepo,
3. Neno samsung kwa nyuma limefifia,
4. Back cover sio glass,
5. Bezzel n kubwa,
6. Position ya power batan, ipo kushoto na inatakiwa kulia,
7. angle ziko more round,
8. Mbele juu kunatakiwa kuwe na dual camera(mbili) upande wa kulia wa speaker na kushoto sensor pamoja na LED(Total 4)
9. Lowest screen resolution,
10. Wallpaper imegeuka, hio triangle inatakiwa iwe upande wa kulia,
11. No alumminium/steel flame,
12. Camera(lens hapo katkat n ndogo sana),
13. Fingerprint scanner hapo inaonesha kbsa sio halisi
14. info kwa nyuma chin zinaonesha sio za samsung,
15. Colour sio pure gold, n.k

kwa hzo picha mbili tu tena zilizofifia nimegundua yote hayo. Vp zingekua nying na inaonesha vzr? hapo bado sijazungumzia upana na unene wa cm, position ya volume up/dow button, position ya speaker na mic, uzito wa simu, IP68 cetirfied, hvyo vyote n hardware sijagusa simu nikaingia kwenye software. Yan kwa ufup, kwa mjanja, everthing you see there..., its not real.

Samahan kama nimekuharibia biashara, ila kuna uwezekano ulipigwa hujui au ulitaka umpige mtu,

samahan tena.
 
ohooo naona unataka ligi, Wakuu naomb mwenye kuweza ku upload picha ya A8 plus hapa afanye hvyo tujue nan anataka kuharibu biashara ya mwenzake, kama kuna samsung yeyote OG Kama hio m nakunya mpk posta bila kuacha nafasi na ninaomba ban mwenyewe
 
Phantom 8 Mpya anayehitaji anipm niko dar bei 400k
 
Sihitaji ligi ila nakuomba futa maelezo yako kila mmoja aendelee na mambo yake.
Ndiomaana wanashauri tutumie majina feki maana huku Jf ni shida.
mkuu malelezo sifuti na mbaya zaid umeya quote mwenyewe, unless otherwise ukili kama hio simu n fake na uiuze kwa bei ya fake hapo tutaongea lugha moja ila sio upige mtu kama ulivyotaka kunipiga mimi nikae kimya, nilikuona tangu majuz nikakausha ila uliharb jana uliponi quote uniuzie yako wakat natafuta s7 edge,
 
Umevutika na nini kwenye hiyo simu ya 2016:mbona kuna simu za mwaka huu kali sana tu?
n ya mtu ndugu anapenda edge na bajet yake inakwamia hapo, oky waweza nishaur nikaongea nae akanisikiliza, hz new models ipi naweza pata kwa bei hio kuachana na ma J yote, ningependa unishaur kat ya A-series au C-series
 
Ukifuta yako,yangu hayana shida,wewe futa tu na hutaona tangazo langu tena.
Nakuomba
nafanya hvyo kwa sbb umeniomb na kwa sbb unatumia jina halisi isije ikakuharibia baadae, ila kwanza naomb ukiri kama umekosea?
 
Mkuu wewe mtata sana
hahaaa mzee mimi simu na Pc nimecheza navyo sana yan kama muuzaji vile, hunidangany kuanzia kwenye boksi, huyu ndugu yetu inatakiwa awe tu mpole mi nitafuta kumsaidia japo alitaka apige watu humu, sasa anavyoleta ubish na ujuaji wa kujitia kukiri halaf anaongezea kejeli anajiharibia mwenye mwishowe nitaghaili kufuta, anasubr wenye vichwa vyenye moto waamke huko waje kumsumubua, sina nia mbaya nae kuanzia mwanzo na ndo mana nikakubar kufuta mana mwingne hata asingemsikiliza
 
Reyzzap naomba unipm jina lako fb nikufollow asee uko deep sana mkuu.
hahaa mkuu sio kama unataka unitie korokoroni mjini hapa ndugu? Kukupa jina halisi n inshu sensitve kdg, Halaf m fb sipo wala insta, n twitter na humu

M mtu poa sana huyu jamaa tu ameshndwa kunielewa
 
Wazee wake wenye wx3 na simu zingne za 70 80 tucheckiane mornie tunaweza fanya bussiness. Kuna raia wanataka waingie whatsapp huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…